Naona zile Radio zinazotangaza mpira zinatangaza kitabu sasa hivi,

Naona zile Radio zinazotangaza mpira zinatangaza kitabu sasa hivi,

Tunzo

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Posts
4,082
Reaction score
2,402
Hii ni fedheha, changamoto ipo, Hii haijawahi tokea, pole wa mashabiki na wote mlioenda uwanjani, poleni kwa kupasuka
 
Hapa nasubiri wamalize kutangaza hicho kitabu.

Nisikilize mechi ya saa moja ya Simba Sc Vs TFF.
 
Hapa nasubiri wamalize kutangaza hicho kitabu.

Nisikilize mechi ya saa moja ya Simba Sc Vs TFF.
Simba hawana conflicts na TFF kama Yanga. Kwa haya yanayofanywa na Yanga vs TFF. Ni wazi UBINGWA KWA SIMBA LABDA WAUCHOKE WENYEWE TUU
 
Ngoja tuone, mtanange unaendelea
 
Back
Top Bottom