Heart Wood.
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 982
- 1,179
Mkuu karibu sana kwenye safari ya UHAKIKA ya ukombozi wa mara ya pili wa TAIFA letu.Lakini nakuomba nikukumbushe kuwa inakubidi sasa ubadiri hadi profile picture yako maana haifanani na ITIKADI mpya za huku ugenini kwako,yote kwa yote karibu sana KAMANDA.!Nitatembea na LOWASSA mpaka mwisho!
Dr slaa mwenyewe anajua umuhimu wa kasamee
Wajerumani waliwauwa wayahudi lkn leo hii wajerumani na wayahudi wanashikiana kila sectar
CDM haijajengwa na mtu mmoja hata siku moja. Walianza kina Mtei Kimesera Makani Ndesamburo kwa wakati wao na bdo ilikua imara haikuwahi kutetereka. Ikaja zama za Aman kabourou Zitto kwa wakati wake. Kwa sasa Mbowe Slaa Mnyika Msigwa Lissu Wenje Sugu Basil Lema nk nao wanajitahidi kwa wakati wa sasa. CDM ni taasis sio mtu.