KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
Naweza ipata wapi, make nimetafuta nimekosa.Tumia visine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naweza ipata wapi, make nimetafuta nimekosa.Tumia visine
Hivi huyu Mwali yupo kweli siku hizi mkuu?Naweza ipata wapi hii @Mwali make nimeitafuta sana.
Hivi huyu Mwali yupo kweli siku hizi mkuu?
naomba msaada wana jf mimi situmii kilevi chochote wala sigara lakini macho yangu huwa na rangi nyekundu .imefikia paka naonekana kama mvuta bangi, je naweza kutumia daw gani il yaweze kuwa na hali ya kawaida?
Nawatakia heri ya mwaka mpya.

Sina uhakika.Ina mana amechenji ID?