Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Mkuu kwani mie nimezungumzia viongozi? Wewe ndiye uliyeleta mfano wa mbwa kawa mwenye mbwa na sasa ana wapiga hata wale waliomwita mbwa. Ndio nikakukumbusha kuwa,kama mbwa imewezekana kugeuka kuwa mwenye mbwa basi uwezekano wa kurudi tena kuwa mbwa upo! Na sio mbwa bora bali mbwa koko anayejitafutia ridhiki jalalani.Visasi vipo mpaka kwenye ikulu ya Donald Trump kule Marekani. Au unasahau kuwa mwenye visasi ni mkristo au pengine muislam, mtu ambaye hukumbushwa kutubu dhambi zake?.
Nitajie kiongozi yoyote yule wa kitanzania kuanzia Mwalimu JKN mpaka hivi leo ambaye hana chembe ya ushahidi wa uwepo wa visasi kwenye hulka zake.