Naongea na wewe Jembe ni Jembe meneja mpya wa Harmonize

Nikimtazama harmonize naona kama hana muda mrefu sana tutamsahau. Nawashangaa sana hata wanaosema anaweza chukua nafasi ya Ali Kiba.
Harmo nje ya wcb ni kama samaki nje ya maji.
uno imeshakuwa wimbo wa taifa sheikyahaya
 
Nimeshangaa kwa kweli Harmonizer kuimba nyimbo isiyo na maadili namna hii. Nimezoea nyimbo zake sina meseji nzuri. By the way nilipoona UNO nilijua Numero Uno. Nikajua ina ujumbe wa kuwa number one. Kumbe upuuzi mtupu. This is not Harmonizer I knew.
ameshatosha kuwaimbia CCM sahivi ametoa nyimbo kwajiri ya mashabiki wake wapenda starehe hauwezi kupiga matatizo na atarudi disco au never give up
 
Acha kulinganisha Lupela na takataka , Niseme Tu ukweli kwenye utunzi Alikiba Hana mpinzan sema ndo hvyo Mwamba Hana jitihada kabisa , kuhusu Harmonize Mond ndo alikuwa anamshaur Ngoma ipi arelease kulingana na soko, sa hv atapuyanga sana
mchambuzi wa muziki wa harmonize uwe wewe takataka
 
koma we Moyo wangu haikuwa nyimbo ya kawaida
 
Kama nawaona haters mnavyoimba kimoyo moyo na kutingisha mguu....

Unoooooo everybody say Unooooooooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…