Naota kumpata Jamiiforums member to be my man

Naota kumpata Jamiiforums member to be my man

Una matatizo wewe inaonekana ni bibi wewe over 30 unatafuta wa kufa nae.. kweli im still young kimtindo... then uandishi uo umetokana na grlz nlokuwa nao vtoto vdogodogo vibichiii samahan bibi
hahahaha pamoja mkuu
 
aaah jaribu tena kesho naona leo itakua ngumu kumpata gentleman maana G man tuliopo online leo wote tupo full .
 
Ni nani huyo unamuota?
.
.
.
.
.
.
.
Labda ni mimi, i never know!!
 
Kwanza ukijua yakuwa unatumia jina ambalo huna hati nalo fahamu wee jambazi tu nategemea kulipata jambazi OK!
 
majibishano ya nazjaz na kakajambazi yameniacha hoi kuhusu AK47 teh teh teh
 
Mm nichague mm msiri alafu sjawah hata kugegeda mtoto wa watu mungu hapendi ni pm jaman😉
 
Back
Top Bottom