Naota kumpata Jamiiforums member to be my man

Naota kumpata Jamiiforums member to be my man

Excel,

Excel mzima wewe
Mwache ajitafutie bana
Mbona wewe hujajitaja aise
 
Last edited by a moderator:
Ila naogopa matatizo kidogo tu atayaleta MMU

Hata mimi niliota kama wewe kumpata member wa kike, hebu ni-PM unihadithie ulivyoota maana itakuwa ni mimi huyo bila shaka.
Usipoteze fursa, bahati ni fungu moja.
Mods kwanini mmepiga ban Nazjaz?
 
Last edited by a moderator:
haaaaah!!!!!!!!!..... akiyaleta huku utapungukiwa nin? ????
 
eenh!

naomba nikujue mimi tu kwa hii ID mrembo!

nipe na business kadi kabisa tusije tukapotezana!

Kwanini umebadili uraia wa JF lakini?

Naona jam kibao nataka shortcut business card ntakupatia kule pm hapa wanga wamejaaa
 
Back
Top Bottom