Naota Marehemu ananitokea

Naota Marehemu ananitokea

Status
Not open for further replies.
ni mambo ya kawaida tu wala usiwaze sana na wasikutishe. Pia ndoto ni mzunguko wa mambo ambayo yameshstokea kwa hio itaisha tu

cha msingi ujaribu kumsahau huwa unamwazana sana ndio maana akili haipumui
 
kama hujazulumu uhai wake hayo yote yatakwisha baada ya muda tu ila nje ya apo hesabu maumivu.
 
Roho ile ya mauti (siyo yeye) ndio inayokujia, muombe Mungu sana pia mshirikishe mchungaji wako akusaidie kuomba.
 
Marehemu hana mke wala mtoto na katika maisha yake akiwa hai mimi nilikua tegemezi wake na nilijitahidi Kwa Kila kitu.
Tumia chumvi ya mawe kila siku kwa kuiogea na kuichoma. Hutokaa utokewe na maluwe luwe hayo

ila sema kila ndoto ina maana yake. Tafuta wakina Yusufu wakutafsirie
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom