Naota nacheza mpira kwa kiwango cha juu, nini tafsiri yake?

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Kuna ndoto inajirudia rudia mara ya tatu sasa .
naota niko uwanjani nasakata kabumbu,mpira ninaocheza humo ni hatari,n aupiga mwingi sana
sijawahi kucheza mpira kwa kiwango cha ushindani nikiwa kijana,sasa umri wangu siwezi kusajiliwa timu yoyote nimeshazeeka,
Hii ndoto ina maana gani wakina Yusuf nisaidieni
 
Hehehe usiendekeze kulala mapema mpaka unapata ndoto namna hiyo ipo siku utaota unajinyea bro 😃 usije ukaja kuanzisha thread
 
Back
Top Bottom