Naota nafanya mapenz na mpenz wangu aliyeko mbali karibia kila siku je hili ni tatizo?
Uwiiii hiyo ni mbaya aiseeee
kama unakuta umechafua shuka kila siku? basi kwa wale wanaoamini jini mahaba watakawambia jini bahaba akakukula
Naota nafanya mapenz na mpenz wangu aliyeko mbali karibia kila siku je hili ni tatizo?
kama unakuta umechafua shuka kila siku? basi kwa wale wanaoamini jini mahaba watakawambia jini bahaba akakukula
Bold
ufafanuzi tasavali ?
Kuna jamaa uliwahi mtokea, asubuhi anakua kachoka, na mabao kibao kwenye boxer... Akaenda kwa Local Doctor, ndo akagundua alikua anamgegeda mother house..!! Hehee, alihama..
Heheheheh bora aliwe na jini mahaba kuliko popobawa
Mmmh,,,,,,,Hilo si balaa aisee.Kuna jamaa uliwahi mtokea, asubuhi anakua kachoka, na mabao kibao kwenye boxer... Akaenda kwa Local Doctor, ndo akagundua alikua anamgegeda mother house..!! Hehee, alihama..