Naota nafanya mapenzi na mpenzi wangu aliyeko mbali karibia kila siku, je hili ni tatizo?

Naota nafanya mapenzi na mpenzi wangu aliyeko mbali karibia kila siku, je hili ni tatizo?

Hilo pepo kaka sema tu linavaa sura ya mpenzi wako.Nenda kanisani ukaombewe huyo atakuwa haji tena ni vzur kuwah becoz ukichelewa huwa hawataki uwe na mwanamke mwingine zaidi yy pepo.
 
Hilo litakuwa ni jini linakuingilia usiku linakula mzigo linaondoka vipi ukiamka hujioni kama umechafua shuka .
 
Back
Top Bottom