lallana Member Joined Mar 23, 2015 Posts 24 Reaction score 3 Mar 27, 2015 #61 Hilo pepo kaka sema tu linavaa sura ya mpenzi wako.Nenda kanisani ukaombewe huyo atakuwa haji tena ni vzur kuwah becoz ukichelewa huwa hawataki uwe na mwanamke mwingine zaidi yy pepo.
Hilo pepo kaka sema tu linavaa sura ya mpenzi wako.Nenda kanisani ukaombewe huyo atakuwa haji tena ni vzur kuwah becoz ukichelewa huwa hawataki uwe na mwanamke mwingine zaidi yy pepo.
Emma. JF-Expert Member Joined Jun 25, 2012 Posts 19,932 Reaction score 5,563 Mar 27, 2015 #62 Hilo litakuwa ni jini linakuingilia usiku linakula mzigo linaondoka vipi ukiamka hujioni kama umechafua shuka .
Hilo litakuwa ni jini linakuingilia usiku linakula mzigo linaondoka vipi ukiamka hujioni kama umechafua shuka .