POLE KWA HILO UNALOPITIA..NYOKA KWA TAFSIRI YA KIROHO NI JINI AU PEPO LINAKUJA KWA NAMNA AU UMBO LA NYOKA..NA JINI LIKIJA KWA NAMNA HIYO HUWA NI ISHARA YA HATARI KWAKO..Wakuu sijui hii hali inatokana na nini,Mara nyingi nmekuwa nikiota nakimbizwa na nyoka,na wakati mwingine hata nikiwa nimekaa na watu mchana kweupe huwa nastuka naangalia pembeni nahisi kuna nyoka anakuja,Nikikaa kwenye gari hivo hvo nahisi chini ya siti kuna nyoka.
Hii hali imedumu kwa miaka 3 sasa.
Naombeni ushauri nini nifanye ndugu zangu.
Shukran mkuuPOLE KWA HILO UNALOPITIA..NYOKA KWA TAFSIRI YA KIROHO NI JINI AU PEPO LINAKUJA KWA NAMNA AU UMBO LA NYOKA..NA JINI LIKIJA KWA NAMNA HIYO HUWA NI ISHARA YA HATARI KWAKO..
YAPO MAMBO YA KUFANYA..USHAURI
NENDA SEHEMU YEYOTE KWENYE HUDUMA YA MAOMBI UFANYIWE MAOMBEZI UFUNGULIWE. NINA AMINI YESU ATAKUFUNGUA
Shukran mkuuUmeujenga mind yako hivyo ndio Maana hadi mchana unapata hiyo hali. Au Utakua mpare unakula sana makande hivyo inafanya respiratoria kufanyika kwa ugumu hivyo kupelekea kuota Ndoto hizo maana ubongo unakosa oksijeni usiku due to low respiration
Umeisha ww!Wakuu sijui hii hali inatokana na nini,Mara nyingi nmekuwa nikiota nakimbizwa na nyoka,na wakati mwingine hata nikiwa nimekaa na watu mchana kweupe huwa nastuka naangalia pembeni nahisi kuna nyoka anakuja,Nikikaa kwenye gari hivo hvo nahisi chini ya siti kuna nyoka.
Hii hali imedumu kwa miaka 3 sasa.
Naombeni ushauri nini nifanye ndugu zangu.
Ulijua atakuwa amekufa [emoji23][emoji23][emoji23]Umeisha ww!
Hv bado upo mpaka leo