Naota nakimbizwa na nyoka

Naota nakimbizwa na nyoka

KAGAMEE

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2013
Posts
4,457
Reaction score
5,454
Wakuu sijui hii hali inatokana na nini,Mara nyingi nmekuwa nikiota nakimbizwa na nyoka,na wakati mwingine hata nikiwa nimekaa na watu mchana kweupe huwa nastuka naangalia pembeni nahisi kuna nyoka anakuja,Nikikaa kwenye gari hivo hvo nahisi chini ya siti kuna nyoka.

Hii hali imedumu kwa miaka 3 sasa.

Naombeni ushauri nini nifanye ndugu zangu.
 
Umeujenga mind yako hivyo ndio Maana hadi mchana unapata hiyo hali. Au Utakua mpare unakula sana makande hivyo inafanya respiratoria kufanyika kwa ugumu hivyo kupelekea kuota Ndoto hizo maana ubongo unakosa oksijeni usiku due to low respiration
 
Google. Ndoto za nyoka na maana zake zimechambuliwa zote google. Kifupi kuna adui wako ana kuwinda hakumalize
 
Kweli nyoka ni adui, jitahidi kwa dua na sala, mpinge shetani naye atakimbia
 
Wakuu sijui hii hali inatokana na nini,Mara nyingi nmekuwa nikiota nakimbizwa na nyoka,na wakati mwingine hata nikiwa nimekaa na watu mchana kweupe huwa nastuka naangalia pembeni nahisi kuna nyoka anakuja,Nikikaa kwenye gari hivo hvo nahisi chini ya siti kuna nyoka.

Hii hali imedumu kwa miaka 3 sasa.

Naombeni ushauri nini nifanye ndugu zangu.
POLE KWA HILO UNALOPITIA..NYOKA KWA TAFSIRI YA KIROHO NI JINI AU PEPO LINAKUJA KWA NAMNA AU UMBO LA NYOKA..NA JINI LIKIJA KWA NAMNA HIYO HUWA NI ISHARA YA HATARI KWAKO..

YAPO MAMBO YA KUFANYA..USHAURI
NENDA SEHEMU YEYOTE KWENYE HUDUMA YA MAOMBI UFANYIWE MAOMBEZI UFUNGULIWE. NINA AMINI YESU ATAKUFUNGUA
 
Shukran mkuu
 
Umeujenga mind yako hivyo ndio Maana hadi mchana unapata hiyo hali. Au Utakua mpare unakula sana makande hivyo inafanya respiratoria kufanyika kwa ugumu hivyo kupelekea kuota Ndoto hizo maana ubongo unakosa oksijeni usiku due to low respiration
Shukran mkuu
 
Wakuu sijui hii hali inatokana na nini,Mara nyingi nmekuwa nikiota nakimbizwa na nyoka,na wakati mwingine hata nikiwa nimekaa na watu mchana kweupe huwa nastuka naangalia pembeni nahisi kuna nyoka anakuja,Nikikaa kwenye gari hivo hvo nahisi chini ya siti kuna nyoka.

Hii hali imedumu kwa miaka 3 sasa.

Naombeni ushauri nini nifanye ndugu zangu.
Umeisha ww!
Hv bado upo mpaka leo
 
Back
Top Bottom