Naota ndoto za kutisha ila nikishtuka nasahau matukio yote

Naota ndoto za kutisha ila nikishtuka nasahau matukio yote

Ili uzikumbuke.
1. Unaposhituka usiguse kichwa kwa namna ya kuchezea nywele
2. Ukistuka kama kichwa kulikuwa kimeegemea upande wa kushoto kiache hivyo hivyo Kisha fumba macho anaza ku kumbuka

Ukizingatia hayo utakumbuka ndogo uliyo ota yote
 
Serious?
 
Habarini Ndugu zangu!
Samahani sana kijana mwenzenu nahitaj msaada au ushauri kwa maana mara nyingi huwa naota ndoto nyingi za ajabu na za kutisha lakini nikishtuka au hata kukicha nasahau matukio yote yanayohusiana na ndoto hiyo nabaki kujua tu kuwa nimeota ndoto mbaya lakini matukio kuwa ndoto ilikuaje sikumbuki! Je tatizo linaweza kuwa nini?
Acha kula ugali usiku
 
Back
Top Bottom