Naota ndoto za kutisha ila nikishtuka nasahau matukio yote

Ili uzikumbuke.
1. Unaposhituka usiguse kichwa kwa namna ya kuchezea nywele
2. Ukistuka kama kichwa kulikuwa kimeegemea upande wa kushoto kiache hivyo hivyo Kisha fumba macho anaza ku kumbuka

Ukizingatia hayo utakumbuka ndogo uliyo ota yote
 
Serious?
 
Acha kula ugali usiku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…