#COVID19 Napambana na COVID-19 deadly Delta

Ni kweli,kupambana nao ni gharama.nilitumia laki 2 kwa vipimo na dawa
 
Polee Sana mkuu, jitahidi kwenda hospital ili kuchek vizuri Hali ya mapafu, oxygen levels, ili uwahi mapema Kabla Hali haijawa mbaya zaidi
 
Why ikatae mkuu? Ume Jaribu kununua?
Yea. Ambacho nimeona mpaka sasa ni kwamba ukiwa unasajili akaunti ya kuingilia playstation network unatakiwa uchague nchi ila kwa Africa nchi eligible ni SA.

Nikachagua SA ilivyofika muda wa kulink akaunti na mastercard inakua inagoma kwakua credentials zinaonyesha kwamba ni za Tz na kanuni zao hazitaki taarifa za akaunti zitofautiane na taarifa za mastercard.

Online suluhu nilizoona mpaka sasa ni kununua gift cards za psn ambazo zinaendana na nchi uliyosajilia ili kuliruka swala la kutakiwa kutumia mastercard. Suluhisho jingine ni kununua akaunti za watu ambazo tayari zina magemu.

Sasa hawa wanaoingizia watu magemu naona wako free sana ni kama vile hawabanwi na hii ishu najua lazima kuna namna watakua wanayo ila ni siri. Nimewauliza wawili wanaishia kucheka tu hawajibu.
 
Mi nilitokewa na iyo hali mwaka jana mwez wa 5 na kikubwa jitahidi kufanya mazoezi na kujifukiza
 
Reactions: ris
kinachonishangaza kwa uzoefu wangu ni kwamba,wale wanaofuata taratibu kama kuvaa barakoa na kunawa mikono ndio wanaougua,...mfano wewe,unasema tatizo watu wanaokuzunguka hawachukui tahadhari,pia kuna mwingine humu anasema aliugua ingawa alikua anachukua tahadhari ila tatizo ni wale waliomzunguka.....huwa natafakari sana haya....mbona wale careless kabisa hawaugui?...Mfano pale mtaa wa Kongo Kariakoo,kuna mchanganyiko wa watu wengi zaidi kuliko eneo lolote Tanzania na watu hawavai barakoa!!!

Kuna mmoja alisema huu ugonjwa ni selective sana!!....ila mimi nasema kwamba kuna kitu watu hawakioni,ni wachache sana ndio tunaweza kukiona,...inahitaji weledi na kufikiri kwa kina....mimi nimekaa na hao waliokua wanasemwa wanaugua ugonjwa huo na sikua navaa barakoa lakini sikuugua!!....hekima na akili inahitajika hapa....

Wazungu hasa mataifa ya uingereza na Marekani na hata China ndio wanaoongoza kuchukua tahadhari na Afrika ndio very careless lakini wazungu ndio tunaosikia wanaathirika zaidi na kufa sana kuliko Afrika!!!....hekima na akili inahitajika hapa....we are shooting wrong target bila kujua....na tunajiamini kwamba hiyo ndio target....

Nakumbuka zamani wakati wa mlipuko wa magonjwa kama SMON na SCURVY watu walipiga wrong target kwa muda mrefu sana na wengi walikufa sana mpaka walipoacha siasa kwenye medicine ndipo wakaja kugundua the real cause....

Kazi kubwa ya propaganda ni kuigeuza akili timamu ya mtu ili aamini zaidi kile anachoambiwa kuliko kile anachokiona yeye mwenyewe....

Swali:
Naomba kwa yeyote anayejua dalili moja tu ambayo ipo kwenye covid19 ambayo huwezi kuikuta kwenye seasonal flu/Influenza.Naomba aweke hapa dalili hiyo.
 
Pole sana,mpaka hapo umeshapona.Endelea kutumia dawa ulizopewa zikiisha hali bado rudi tena hospitali.
Mimi ni mhanga pia nimepitia hayo maumivu unayoyapata na yatapungua taratibu.
Niko ndani wiki ya tatu sasa napambana na changamoto zake ikiwemo maumivu ya mifupa
 
Nimekuta wameniambia nimonia na wamenianzishia dozi saizi naona naricover mdogo mdogo.

Sasa jamaa wananinyanyapaa eti mtu mzima ukisikia nimonia wanajua no uviko 19 but Dr kaniambia sio uviko 19
Jitenge kwa tahadhari hata kama ni korona ukiwahi matibabu unapona haraka
 
Watu wanatengeneza account za US na card wananunua Amazon, tena sometime inaweza kuwa cheap kuliko Master card, ukipata card una fill wallet yako.
 
Acha joke, watu wanaeeleza experience zao za COVID wewe unaulizia game? kwanini hujam-PM?
😅

Inaonekana Castr alikuwa anatutafuta sana mimi na Chief, sema nimeweika low kwa heshima maana angeweza kutu-tag kwenye Arsenal Thread maana sports na games ni niche moja.
 
Endelea kutumia mchanganyiko wa juice ya limao na tangawizi,

Fanya mazoezi hata kama unaona hali ni mbaya

Tumia vitamin c kwa wingi

Hii kitu imenikuta na kama kufa ilitakiwa nife Jtatu usiku au Jnne ya wiki hii ila Mungu amenipa nafasi nyingine

Mbinu niliyitumia nikiwa katikati ya maumivu makali ya mwili na mbavu kuuma, niliinuka nikavaa viatu vya mazoezi nikaingia road(jogging kama ½ km nikarudi hom)

Usiku wake nikahisi kufakufa ila asubuhi nikaamka na nafuu

Na huu ndio utaratibu niliinao hadi sasa naelekea kupona kabisa

NB: kitu cha ajabu nilichogundua kwenye ugonjwa huu, wanangu wadogo na mke wangu wameishia kupata vipele tu, hawajaathirika sana kama mimi,

Mungu yupo.
 
😅

Inaonekana Castr alikuwa anatutafuta sana mimi na Chief, sema nimeweika low kwa heshima maana angeweza kutu-tag kwenye Arsenal Thread maana sports na games ni niche moja.
najua hivyo nimemsema tu kama joke, kwa sababu tunakutana mara kwa mara kwenye jukwaa la arsenal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…