Napanga kisasi, amekula nauli

Napanga kisasi, amekula nauli

The Garang

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2018
Posts
2,880
Reaction score
4,830
Assalaam alaykum.

Wakuu hiki kitendo kimeniuma sana, kuna huyu dada alipost huko fb anatafuta kazi za mgahawani, kuuza duka, saluni na ishu za pesa, alikuwa ameweka namba za simu, dhehebu lake na mahali alipo ambako sio mbali na mimi. Nikascrinishoti nikapita kushoto. Nilifanya hivi, kuna dada rafiki yangu alikuwa anahitaji mdada wa kumsaidia kazi mgahawani ye akiwa na mishe zake zingine, aliyekuwepo mgahawani alifiwa na mzee wake, hakuwepo na hakuwa na matumaini ya kurudi.

Juzi huyu dada rafiki yangu kanicheki kama nimepata mdada ( aliniomba kama kuna mtu nafahamiana naye nimconnect nae) , nikamtell weit nibonge na dada mmoja nishawahi fanya nae kazi wayback, nikavuta waya hadi jimboni kwa Anna Makinga, tukasabahiana pale etc ,dogo akasema issue za mgahawani hawezi, nikaagana nae na kumtakia baridi njema, nikabonyeza button nyekundu, end call!!!

Nikampa feedback rafiki, dogo issue za mgahawani hawezi, ikaisha hivo. Baada ya dakika kadhaa nikamcall tena nikagusia ishu ya huyu dogo wa mtandaoni lakini nikasema simuamini sina guarantee nae akajibu poa bonga nae then nipe majibu.

Dogo akavutiwa waya, hallo , hallo , salamu pale nikamuambia lengo la ile simu then nikaituma namba yake kwa huyu rafiki yangu. Baada ya muda kidogo, huyu rafiki akanicheki kuwa ashaongea na dogo ila kasema yuko kijijini sana tofauti na ile location alosema mtandaoni, so niconfirm nauli bei gani atumiwe. On top of that yule dogo aliulizwa namie tumefahamiana wapi akajibu tulikutana mji mmoja katika mishemishe ndio tukafahamiana hapo, so nikaulizwa kama ni kweli asemayo huyo dogo mie nikasema ndio nahisi nshawahi kutana nae, lengo lilikuwa nisimzibie dogo ridhki.

Nikapiga simu kwa wadau waliopo mitaa hiyo kujua kama hiyo nauli ni sawa, almost ni mulemule but curiosity ikanijia kila nikipiga simu huyu dogo anadelay kupokea nikawa na hofu labda hii simu inatumiwa na watu wawili kwa kubadirishana, ikaisha juu juuu.

Nikamrudia rafiki yangu kuwa huyu mtu simuamini sana so ngoja tumtest kujua kama anakosema yupo ndio yupo, Nikapiga simu kwa dogo nikasema nataka nikuagize mzigo uje nao huku dogo akasema kwa hio route nauli itakuwa kubwa nikasema nita top up usiwaze, AKAKUBALI, nikamcheki binti mmoja ajifanye ye ndio anamzigo wangu, so wakutane waonane ikiwezekana na nauli achukulie kwake , binti akasema sawa, chapu nikampa namba amtafute huyo mla nauli.

Nimekaa muda kidogo nikamcheki hyu binti naetaka amconfirm huyu dogo simu yake inasema inashindwa kuunganishwa hadi mara 2 kwa nyakati tofauti inasema hivyo, nikamtext kuwa amcheki basi dogo afu kama umeniblock sijui, nikapotezea.

Punde sms inaingia kutoka kwa mla nauli inasema, huku kwetu vibanda vya mpesa viko mbali na kiza kinatanda soon,!!!!!!! Ikumbukwe huyu rafiki yangu anaetaka mdada wa kazi alikuwa anataka hata kesho aende anza kazi so pressure kila muda, nikamvutia waya oyaa hebu tuma nauli dogo kasema mpesa sijui mbali na kiza kinakaribia, kuhusu kumtest kama kweli yuko huko ye kasema yuko tayari pokea mzigo ila sasa mtu wa kumpa mzigo ndio hapatikani kukamilisha test yetu.

Nikamcall mla nauli, pesa utumiwe namba ipi, akanitajia , freshii rafiki yangu akamtumiaaa..... alivopokea muamala dogo akanicheki akasema pesa ametumiwa ndogo kwa ile route ya kufata mzigo nikasema achana na wa mzigo pita route yako wa mzigo ataagiza mwenyewe, akajibu POA.

Wakuu from the moment on hadi sasa hapokei simu hajibu sms, yule rafiki jana kanicheki mbona yule mla nauli hajibu sms na hapokei simu nikamjibu the same to me, akasema kama vipi arudishe nauli na aconfirm kuwa haji mchakato wa kutafuta wengine uendelee, Sikutaka kupiga simu wala kutuma tena sms nikawa nimekaa nimeduwaaa kama dakika tano hivi nawaza hili jitu nilifanye nn , nilipatwa na hasira sana ndugu zangu daaah sio poaa yaani japo nauli aliyokula inathamani sawa na lita 8.2 ya petroli ( kwa bei ya Dar) lakini nikikumbuka nilivompigania apate kazi then ananichomesha hivi napata sana hasira.

MBINU ZA KISASI.....
1. Nimechonga na jamaa yangu wa Cyber, Nigeria anifanyie mpango niweze kumtrack namba yake nijue yuko wapi.
2. Nataka nifatilie kwa makini account yake nione watu anaochati nao mara kwa mara , niwaombe urafiki then nijue taarifa zake huyu dogo ikiwemo kuunda account mpya ya fb na nimuombe urafiki, then nimtongoze kwa gharama yeyote akubali, wakati huo mie naendelea kula tizi za ngumi na push ups, akikubali aje gheto kulalwa , katikati ya tendo NATAKA NIJIFANYE NIMEPANDISHA MAJINI THEN NIMKUNG`UTE SANA PUNCH HEAVY NA ZA HARAKA kabla sijashtukiwa then natuliaa.

I hope moyo wangu utatuliaa,
Wakuu naombeni mbinu zingine za kinyama niweze fanikisha hili
 
Mkuu mara nyingi ukishagundua umeingizwa mjini, mi hua naona bora ukubali yaishe tuu wewe sio wa kwanza wala hautakua wa mwisho..

Manake unaweza kujikuta unaingia gharama nyingi zisizo na msingi na pengine hata kupata matatizo mengine. Hata ukimkomesha huyo mmoja, matapeli bado hawataisha wapo wengi sana so unakua huja solve chochote.
 
Asante kaka japo mie sio muhanga moja kwa moja katika hili ila sijapenda mtu nlikuwa namsaidia then ananiona fala
 
[emoji3526][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]kaahhh!umeliwa na Mary wa manzese
Ahhahaha huyo mary wa manzese wamuonea bure huyu yupo huo mkoa wenye clip ya theruji road
 
haka kastyl ka kityp halaf mwingine akawah kupost kabla yako hiko kisauti kinachosikika kinatupigia kelele kiasi ata coment inasahaulika
 
ahahaha inatakiwa uzime data ndio utaipu
 
Assalaam alaykum.

Wakuu hiki kitendo kimeniuma sana, kuna huyu dada alipost huko fb anatafuta kazi za mgahawani, kuuza duka, saluni na ishu za pesa, alikuwa ameweka namba za simu, dhehebu lake na mahali alipo ambako sio mbali na mimi. Nikascrinishoti nikapita kushoto. Nilifanya hivi, kuna dada rafiki yangu alikuwa anahitaji mdada wa kumsaidia kazi mgahawani ye akiwa na mishe zake zingine, aliyekuwepo mgahawani alifiwa na mzee wake, hakuwepo na hakuwa na matumaini ya kurudi.

Juzi huyu dada rafiki yangu kanicheki kama nimepata mdada ( aliniomba kama kuna mtu nafahamiana naye nimconnect nae) , nikamtell weit nibonge na dada mmoja nishawahi fanya nae kazi wayback, nikavuta waya hadi jimboni kwa Anna Makinga, tukasabahiana pale etc ,dogo akasema issue za mgahawani hawezi, nikaagana nae na kumtakia baridi njema, nikabonyeza button nyekundu, end call!!!

Nikampa feedback rafiki, dogo issue za mgahawani hawezi, ikaisha hivo. Baada ya dakika kadhaa nikamcall tena nikagusia ishu ya huyu dogo wa mtandaoni lakini nikasema simuamini sina guarantee nae akajibu poa bonga nae then nipe majibu.

Dogo akavutiwa waya, hallo , hallo , salamu pale nikamuambia lengo la ile simu then nikaituma namba yake kwa huyu rafiki yangu. Baada ya muda kidogo, huyu rafiki akanicheki kuwa ashaongea na dogo ila kasema yuko kijijini sana tofauti na ile location alosema mtandaoni, so niconfirm nauli bei gani atumiwe. On top of that yule dogo aliulizwa namie tumefahamiana wapi akajibu tulikutana mji mmoja katika mishemishe ndio tukafahamiana hapo, so nikaulizwa kama ni kweli asemayo huyo dogo mie nikasema ndio nahisi nshawahi kutana nae, lengo lilikuwa nisimzibie dogo ridhki.

Nikapiga simu kwa wadau waliopo mitaa hiyo kujua kama hiyo nauli ni sawa, almost ni mulemule but curiosity ikanijia kila nikipiga simu huyu dogo anadelay kupokea nikawa na hofu labda hii simu inatumiwa na watu wawili kwa kubadirishana, ikaisha juu juuu.

Nikamrudia rafiki yangu kuwa huyu mtu simuamini sana so ngoja tumtest kujua kama anakosema yupo ndio yupo, Nikapiga simu kwa dogo nikasema nataka nikuagize mzigo uje nao huku dogo akasema kwa hio route nauli itakuwa kubwa nikasema nita top up usiwaze, AKAKUBALI, nikamcheki binti mmoja ajifanye ye ndio anamzigo wangu, so wakutane waonane ikiwezekana na nauli achukulie kwake , binti akasema sawa, chapu nikampa namba amtafute huyo mla nauli.

Nimekaa muda kidogo nikamcheki hyu binti naetaka amconfirm huyu dogo simu yake inasema inashindwa kuunganishwa hadi mara 2 kwa nyakati tofauti inasema hivyo, nikamtext kuwa amcheki basi dogo afu kama umeniblock sijui, nikapotezea.

Punde sms inaingia kutoka kwa mla nauli inasema, huku kwetu vibanda vya mpesa viko mbali na kiza kinatanda soon,!!!!!!! Ikumbukwe huyu rafiki yangu anaetaka mdada wa kazi alikuwa anataka hata kesho aende anza kazi so pressure kila muda, nikamvutia waya oyaa hebu tuma nauli dogo kasema mpesa sijui mbali na kiza kinakaribia, kuhusu kumtest kama kweli yuko huko ye kasema yuko tayari pokea mzigo ila sasa mtu wa kumpa mzigo ndio hapatikani kukamilisha test yetu.

Nikamcall mla nauli, pesa utumiwe namba ipi, akanitajia , freshii rafiki yangu akamtumiaaa..... alivopokea muamala dogo akanicheki akasema pesa ametumiwa ndogo kwa ile route ya kufata mzigo nikasema achana na wa mzigo pita route yako wa mzigo ataagiza mwenyewe, akajibu POA.

Wakuu from the moment on hadi sasa hapokei simu hajibu sms, yule rafiki jana kanicheki mbona yule mla nauli hajibu sms na hapokei simu nikamjibu the same to me, akasema kama vipi arudishe nauli na aconfirm kuwa haji mchakato wa kutafuta wengine uendelee, Sikutaka kupiga simu wala kutuma tena sms nikawa nimekaa nimeduwaaa kama dakika tano hivi nawaza hili jitu nilifanye nn , nilipatwa na hasira sana ndugu zangu daaah sio poaa yaani japo nauli aliyokula inathamani sawa na lita 8.2 ya petroli ( kwa bei ya Dar) lakini nikikumbuka nilivompigania apate kazi then ananichomesha hivi napata sana hasira.

MBINU ZA KISASI.....
1. Nimechonga na jamaa yangu wa Cyber, Nigeria anifanyie mpango niweze kumtrack namba yake nijue yuko wapi.
2. Nataka nifatilie kwa makini account yake nione watu anaochati nao mara kwa mara , niwaombe urafiki then nijue taarifa zake huyu dogo ikiwemo kuunda account mpya ya fb na nimuombe urafiki, then nimtongoze kwa gharama yeyote akubali, wakati huo mie naendelea kula tizi za ngumi na push ups, akikubali aje gheto kulalwa , katikati ya tendo NATAKA NIJIFANYE NIMEPANDISHA MAJINI THEN NIMKUNG`UTE SANA PUNCH HEAVY NA ZA HARAKA kabla sijashtukiwa then natuliaa.

I hope moyo wangu utatuliaa,
Wakuu naombeni mbinu zingine za kinyama niweze fanikisha hili
Pole yako
 
Back
Top Bottom