Tunzo
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 4,082
- 2,402
Chumba kipo mwenge, near TRA, bei ni 50,000 kwa mwezi, ni kuzuri sana, uzio upo, usalama wa kutosha, ukubwa wa chumba ni wakiasi, ni kidogo kwa vingine ndio mana ni 50k, so hakihitaji mtu mwenye vitu vingi sana, kwa maelezo nichek kwa 0684448888, sms calls, whatsap zitajibiwa,
NB, Hiki hakina udalali mm ndio mmiliki, kama utaamua kucheki nyumba/vyumba vingine, maeneo ya Dar usisite kunichek
NB, Hiki hakina udalali mm ndio mmiliki, kama utaamua kucheki nyumba/vyumba vingine, maeneo ya Dar usisite kunichek
Last edited: