House4Rent Napangisha chumba Mwenge DSM near TRA

House4Rent Napangisha chumba Mwenge DSM near TRA

Chumba kipo mwenge, near TRA, bei ni 50,000 kwa mwezi, ni kuzuri sana, uzio upo, usalama wa kutosha, ukubwa wa chumba ni wakiasi, ni kidogo kwa vingine ndio mana ni 50k, so hakihitaji mtu mwenye vitu vingi sana, kwa maelezo nichek kwa 0684448888, sms calls, whatsap zitajibiwa,
NB, Hiki hakina udalali mm ndio mmiliki, kama utaamua kucheki nyumba/vyumba vingine, maeneo ya Dar usisite kunichek
Unasema wewe sio Dalali ilhali wakati huo huo utangaza kuwa kama mtu anahitaji chumba/nyumba maeneo ya Dar asisite kukuchek !!!
 
Unasema wewe sio Dalali ilhali wakati huo huo utangaza kuwa kama mtu anahitaji chumba/nyumba maeneo ya Dar asisite kukuchek !!!
Soma vizuri mkuu utaelewa, labda kama kiswahili ni kigumu kwako
 
Back
Top Bottom