napangisha nyumba ( majohe)

napangisha nyumba ( majohe)

19don

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2011
Posts
672
Reaction score
206
wadau ninapangisha nyumba zangu kwa watu wanao hitaji zipo majohe kichangani (ilala) zina bed room 2, sitting room 1, kitchen, bafu na choo, kila 1 ina luku yake na maji yapo nimechimba kisima kirefu
n;b 200,000 tsh kwa mwezi
 
majohe ndo wapi?? ruvuma singida tabora
 
Pugu walipopelekwa waathirika wa kipunguni nahisi na hutyu ni mmoja wapo akarekebisha fasta sasa anatafuta hanga mwenzake...mbele ya pugu kajungeni kama sijakosea
 
tatizo mnakaa musoma au bukoba ndio maana hamjui, majohe ipo kabla ya hao wahanga wenu, majohe ni kabla ya pugu ,upande wa kulia , kama kuwasaidia hata mtoto wa mkulima ni mkazi wa mitaa hii acheni zarau
 
Back
Top Bottom