Napangisha nyumba na vyumba maeneo mbalimbali nchini

😂😂
Sasa kama bandiko lake halina ushawishi unategemea nini
Unahitaji ushawishi gani?,kama mtu yupo serious atakuja kuona nyumba mwenyewe,asilimia kubwa picha huwa hazina uhalisia kwa sababu inategemea uwezo wa camera.
 
Unahitaji ushawishi gani?,kama mtu yupo serious atakuja kuona nyumba mwenyewe,asilimia kubwa picha huwa hazina uhalisia kwa sababu inategemea uwezo wa camera.
Sasa mkuu unakaza kichwa tu hapa, mtu anaanzaje kufunga safari kuja kuona nyumba wakati una uwezo wa kuweka picha hapa kila mtu akaona hata jinsi nyumba ilivyo(hata kama haina uhalisia kama unavyodai japo siamini hili) akiridhika ndo aje kuona ili kujihakikishia kuliko kupoteza muda kuja huko af akute nyumba haieleweki

Itumie teknolojia vizuri acha kurudi zama za ujima.
 
vyumba bado vipo wadau karibuni sana 0687234549
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…