Napangisha nyumba na vyumba maeneo mbalimbali nchini

Habari wadau,nyumba inapangishwa ukonga banana ni stand alone,vyumba vitatu na seble ipo ndani ya fence Tsh 300000/=,kwa mwezi na mawasiliano 0654983243.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…