Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Wana jf hawapendi kuambiwa ukweli, ukweli unauma.
Kama tendo la ndoa mke wako anakupa kwa kukupangia siku,. Mara nimechoka, mara naumwa mara tantalila. Pole.
Mke wako anachepuka, hana tena hisia na wewe. Anakuona zoba.
Kama huutaki huu ukweli basi tuseme mke wako ana majini mahaba wanaomfanya kila siku .