Hii ni kweli kabisa, niliiona kwa mke wangu na dalili nyingine nyingi kama ujeuli,ukimuuliza swali anapayuka makelele sauti kwa hasira, mara anitukane ila sasa alikuwa njia panda kuniacha alikuwa hawezi kwa sababu nina vihela..sasa siku nimemuonesha ujinga wake anajidai kunililia.. nimepiga chini, sasa hivi anatia huruma,mi nimekaza tu komwe na mwanangu,na nimemtafutia mwanangu mdada wa kazi, maisha yanaendelea ni full bata..