Napaswa kurudisha Passport kwa kuwa nimeshindwa kusafiri?

Napaswa kurudisha Passport kwa kuwa nimeshindwa kusafiri?

Hivi mtoa mada unafahamu kazi ya passport lakini?
Since form one natumia na naijua vizuri. I'm just being sarcastic. Masharti kibao before uipate. Sijui uonyeshe unaenda kufanya nini. Passport ni document ambayo yeyote inabidi awe nayo. Akitaka kuitumia muda wowote anitumia just like any other thing. Yaani unadharula kusafiri ndo unaanza kuhamgaika
 
Hata hiyo rufaa ya hospitali mpaka kukamilika na kupewa documents ni masaa mengi tu wala usiweke kichaka cha muda hapo.

Kila mtu ana haki ya kuwa na passport muda wowote autakao ila ni lazima uwe na sababu ya safari. Hata kama dunia ni kijiji lakini wapo watanzania wasiokuwa na uhitaji wa safari muda huu sasa unawapa passport ya kazi gani.
Naona hujanielewa... Anayeomba Ina maana anaihitaji. Hakuna haja ya kumpa Kila mtu. Nina ndugu zangu wengi nje ya nchi yetu naweza kwenda kuwatembelea siku yoyote ninayotaka Kwa hiyo kuwa na pasi ni muhimu
 
Eti bwana. Kwani kuna mtu anaomba passport bila sababu? Na kama ni hati ya kisafiria si mtu yeyote awe nayo ilimradi tu anaweza kusafiri? Mweye shida ya kuuliza maswali mengi ni nchi uendayo na si utokako
 
Back
Top Bottom