M Mantais New Member Joined Oct 7, 2024 Posts 1 Reaction score 0 Oct 8, 2024 #1 Naomba msaada, Nimechaguliwa multiple selection ila napo confirm naambiwa kwa kutumia code niliyotumiwa na TCU naambiwa invalid confirmation code
Naomba msaada, Nimechaguliwa multiple selection ila napo confirm naambiwa kwa kutumia code niliyotumiwa na TCU naambiwa invalid confirmation code
Dr PL JF-Expert Member Joined Sep 13, 2024 Posts 327 Reaction score 537 Oct 8, 2024 #2 Mantais said: Naomba msaada, Nimechaguliwa multiple selection ila napo confirm naambiwa kwa kutumia code niliyotumiwa na TCU naambiwa invalid confirmation code Click to expand... Pole, Nafikiri hiyo code ina muda wake wa kuisha (expiry); kwa hiyo jaribu kuitumia mapema unapotumiwa au vinginevyo uwasiliane na TCU wenyewe.
Mantais said: Naomba msaada, Nimechaguliwa multiple selection ila napo confirm naambiwa kwa kutumia code niliyotumiwa na TCU naambiwa invalid confirmation code Click to expand... Pole, Nafikiri hiyo code ina muda wake wa kuisha (expiry); kwa hiyo jaribu kuitumia mapema unapotumiwa au vinginevyo uwasiliane na TCU wenyewe.
Mr Pixel3a JF-Expert Member Joined Sep 15, 2021 Posts 5,710 Reaction score 8,579 Oct 8, 2024 #3 Vijana wanachekelea sana week nzima badala ya kuconfirm chuo chap