Napata changamoto kuingia kwenye mfumo kwasababu nilisahau nywila (password)

not assigned

Member
Joined
May 22, 2018
Posts
96
Reaction score
243
Habari wakuu,

Tangu kutangazwa kwa hizi ajira za ualimu, napata changamoto kuingia kwenye mfumo kwasababu nilisahau nywila ya kuingilia (password).

Nimejaribu mara kadhaa kubadili inaleta ujumbe "Failed to change password" naombeni msaada namna ya kulitatua hilo.

Pia na wengine wenye changamoto mbali mbali kuhusu huu mfumo tusaidiane hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…