MATEO GODFREY
Member
- Apr 7, 2014
- 36
- 56
Wakuu nimekuwa nikihangaikia ishu ya kusajiri loss report na kulipia kupitia control number niliopata wakati wa kusajiri naona bado inaniletea ujumbe kuwa haijathibitishwa na nizaidi ya masaa mawili sasa hivyo nashindwa kuprint hiyo report.
Vipi kuna cha ziada ninawezafanya hapo au ndio mpaka nisubiri.
Vipi kuna cha ziada ninawezafanya hapo au ndio mpaka nisubiri.