Napata choo laini sana, tatizo ni nini?

Duuu jamaa mchafu kinomaa hadi kinyaa kusoma[emoji54]
Yawezekana unakula vyakula laini sana ndo maana inachangia kupata choo kilaini....shukuru Mungu wengine wanapata constipation hadi anachukia choo .
 
Unapendelea vyakula gani mkuu?
 
Yaelekea unakula mboga za majani na matunda kwa wing I sana, punguza.
 
Labda kwa kuwa unakula sana bata! Jaribu kubadili kitoweo kula mbuzi, ukijisaidia wala huna haja ya kuchamba...
 
Daa!!pole sana mkuu huo ugonjwa mmbaya sana vipi uliwahi kula dawa za safura au minyoo siku au miezi ga hivi karibuni??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…