Napata choo lakini hakitoki

Napata choo lakini hakitoki

ndugu zangu nawashukuru sana maoni yenu yamesaidia ,nlienda duka la dawa nikapewa vidonge vidogo vidogo kama 6 nikaambiwa nimeze vyote,baada ya muda kdogo mzgo umeshuka wote

najiskia huru sasa nipo nakunywa maji mengi
Tumia pia hizo za asili ulizoelekezwa hapo juu. Ni kwa faida yako.

1. Kula papai lililoiva. Kula matunda sio lazima uambiwe na daktari.

2. Tengeneza wewe mwenyewe juisi ya ukwaju, unywe. Hii husaidia mambo mengi mwilini mwako mkuu.
 
Back
Top Bottom