martini enock
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 635
- 274
Karibu sanaMimi ni mgeni jf
Lakini tangu nijiunge jf
Napata faraja sana
Maana jf imebeba mambo mengi sana
Napata elimu ya bure kupitia jf
Hongereni sana Members wote mliomo humu
Hongereni uongozi wa jf [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Naomba ushirikiano wenu
Karibu sana mkuu,Mimi ni mgeni jf
Lakini tangu nijiunge jf
Napata faraja sana
Maana jf imebeba mambo mengi sana
Napata elimu ya bure kupitia jf
Hongereni sana Members wote mliomo humu
Hongereni uongozi wa jf [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Naomba ushirikiano wenu
Mmh na maudhi yamoTangu nijiunge ndo ukawa mwisho wa kununua magazeti ya Tz
Asante mkuuKaribu sana
Ha ha ha ha ha haKaribu sana mkuu,
Tatizo la JF ukishaingia huwezi kutoka tena, unaweza kushawishika hata kufungua account mbili tatu.
Kifupi JF ina mlango wa kuingia tu, wa kutoka haupo....
Asante mkuukaribu sana JF mjukuu wetu ufaidi.....