Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
Kipigo cha 5G siyo mchezo jamaa wanatafuta mchawi ila wamesahau kulitufunga 5, walipigwa tano tano kwenye CAF pia wamesahau kuwa yanga imekuwa kawaida yake kushinda hizo goli mwisho niseme mjipange isije tena mechi ijayo mkafukuza mpaka mwekezaji (bwana mpata hasara asiye jivua) maumivu yapo pale pale 5.