Napata kiungulia na vichomi kila nimalizapo kufanya tendo

kizibo1

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2015
Posts
1,187
Reaction score
766
Nimekuwa msomaji kwa muda mrefu bila kuchangia chochote ila nimefaidika na mengi, asanteni sana.

Sasa leo naomba wajuzi mnisaidie kutatua shida yangu hii; napata kiungulia kikali mpaka vichomi kila nimalizapo kufanya sex. Tatizo lingine ni kwamba niko addicted na ngono kiasi kwamba naweza kuahirisha hata safari kisa mwanamke.

Nisaidieni, mwenzenu nateketea.
 
Mrudie Munguu fanya tobaa utapona kijana.
 
Kila mtu na kipaji alichopewa bana, ngono ndo kipaji chako make sure unakiendeleza kisipotee
 
Mchungaji wangu kuniambia ni mapepo hayatoki

Huyo mchungaji wako ninamashaka nae!! Hakuna pepo anayeshindwa kutoka ndani ya Yesu! Usimsingizie mchungaji na unazidi kupata dhambi kwa kumnenea mtumishi wa Mungu uongo. Navyokuona wewe ni mrohoo so nivigumu kuachaa kwa tabia yako ya kupenda ngonoo na ujue magonjwa yapo mlangoni kukupata
 

Usiniseme vibaya mdau nimekuja kwenu nikiamini nitapata msaada
 
Usiniseme vibaya mdau nimekuja kwenu nikiamini nitapata msaada

Kijanaa mimi sijakusemea vibaya. Ushauri wangu nimekupa na ungekusaidia. Ila waonuesha wewe ni mkaidii. Wacha wenzangu watakupa ushauriii mzuri zaidi yangu tumetofautiana ktk kutoa ushaurii
 
Nenda kinyume na hiyo hari inayokusumbua.
 
FANYA NTAFUTE HUMU !!
kama uko serious !!! 0659613863 ntafute kuanzia saa 11 jion
NATAKA uwe serious kama ni mda tu usinitafute \
tuma tu msg usipige
 
Hiyo ni dhambi ya uzinzi imeanza kukutafuna.
Dawa ni
1.Pendelea kula mihogo kama Dr.slaa.
2.Tafuta mwananke uoe.
 
Mapepo hayatoki....ndivyo mchungaji wako kakuambia?
1.Kama kakuambia hivyo -yeye mwenyewe ana mapepo
Nb: hawezi kukusaidia
2.Piga number hii 0656-880-804 Nikusaidie....now.
 
Kaka hiko ni kipaji... Kiungulia na kichomi ni tatizo dogo sana... Komaa na ngono kaka.
 

Nenda ukaombewe, utakuwa na mapepo saba ya ngono na lingine moja linayoyapinga ndo lonalokuletea kiungulia na vichomi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…