kizibo1
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 1,187
- 766
Nimekuwa msomaji kwa muda mrefu bila kuchangia chochote ila nimefaidika na mengi, asanteni sana.
Sasa leo naomba wajuzi mnisaidie kutatua shida yangu hii; napata kiungulia kikali mpaka vichomi kila nimalizapo kufanya sex. Tatizo lingine ni kwamba niko addicted na ngono kiasi kwamba naweza kuahirisha hata safari kisa mwanamke.
Nisaidieni, mwenzenu nateketea.