Rwetembula Hassan Jumah
Senior Member
- Jan 25, 2023
- 140
- 188
Dini na siasa, tena serikali ya shetani na viongozi wa dini wamezama kwenye dimbwi. Halafu kuna hadith pamoja na aya wanatupiga nazo kuwa tuwatii viongozi wetu.
Hapa kweli uislamu utarudi mgeni!
Nchi ya Saudia inaongozwa na Sunni (Mtume alikuwa muislamu hakuwa na dhehebu, Iran waislam wengi ni Shia pamoja na Iraq ni Sunn pamoja na Shiah. Uisalam hauna dhehebu tambua hilo!
Dunia nzima hukuna nchi ambayo inatofautiana masaa 12, halafu Saudia Arabia imetangaza mwezi umeonekana Dunia nzima lazima itii, ila Tanzania kila kipengele imefeli.
Fuata njia sahihi na mwongozo kwenye kitabu kitukufu Qur'an ndio maana Mwenyezi kasema someni. Ikrah bisirabika Allha.