Napata maumivu makali sana kwenye magego ya upande wa kushuto, msaada wenu tafadhari

Lexus SUV

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2016
Posts
4,493
Reaction score
5,591
Upande wa chini wa kinywa maeneo ya gego(meno makubwa) upande wa kushoto chini ,
ninapata maumivu makali sana , leo usiku sijalala kabisa , ni tiba ipi inafaa
 
Pole jaribu kutumia ndulele /nturantura unaikata unakamlia kwenye msawak unaswakia lkn usmeze chchte baada ya mda kdgo unatmia maj ya vuguvgu
 
Upande wa chini wa kinywa maeneo ya gego(meno makubwa) upande wa kushoto chini ,
ninapata maumivu makali sana , leo usiku sijalala kabisa , ni tiba ipi inafaa
Pole Sana . Ushapata dawa ? Hyo kitu inasumbua Sana hasa usiku. Kama bado kesho nkutajie dawa maana jina lipo ofisin
 
Pole Sana . Ushapata dawa ? Hyo kitu inasumbua Sana hasa usiku. Kama bado kesho nkutajie dawa maana jina lipo ofisin
Bado mzee yaani fizi zimevimba , zinaleta maumivu , ilinitokea nilipoacha tumia whitedent now natumia colgate ila kwa uangalifu makini sana maana nikienda kwa dentist. Gharama kubwa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…