napata mchubuko wakati wa kufanya tendo la ndoa

MRS lyimo

Member
Joined
May 7, 2013
Posts
13
Reaction score
3
jamani me nakaribiwa kuachwa na mpenzi wangu ananiandaa mad mrefu kwa imani ctachubuka but mwisho wa siku goli mbili tu me nimechubuka na ctaki kuendelea coz napata maumivu makali ikiwa inaingia. huu ni mwaka wa tatu sasa tatizo linaendelea tu. mpaka amifikia mahali ameniambia sasa hamu yake apeleke wapi. naombeni mnisaidie kimawazo nampenda sana mpenzi wangu ctaki aniache.
 
umeolewa au ni mpenzi tu? kama hujaolewa acha kufanya mapenzi nje ya ndoa kwani ni dhambi.
kama umeolewa nenda hospital ukapate ushauri wa tabibu
 

mwambie apake mafuta ya mgando kabla ya kuingiza kama hatakipaka wewe ye atakutana nayo tu!
 
Ni Mrs. somebody, means umeolewa kama sijakosea, if so usipate tabu sana nenda Hospt au ktk duka kubwa la dawa muhimu utapata ushauri na dawa za kutumia B4, During and baada ya tendo. ni hayo tu Mpendwa. Wataalam wenye ujuzi zaidi watakuja. :yell:
 
Ndo shida yenu nyie BAADHI ya wanawake... Mara kibamia, mara kibao kimoja analala fofofo ka pono.... SASA MKIPATA WANAOFYATU MATOFALI VIFUANI MWENU MNALALAMA... Hivi mnataka tuwe vipi? Mkigegedwa kwa nguvumnalalama, mkigegedwa kihafifu mnalalama... Daahhh Haya basi saganeni wenyewe basi, labda ndo mnalolitaka.

Baki to ushauri.. Inawezekana we mkavu sana.. hutoi ule utelezi kwa kiwango kinachohitajika.... cha kufanya kashauliwe na madaktari ili uweze kutumia vilainishi mbadala...
 

Hembu elezea na hiyo dushelele ya jamaa yako ikoje usijekuta ina miba kama mbigiri
 
Mwambie mmeo awe anatumia KY
 
Umri wako?
JE unatumia dawa za uzazi wa mapngo kama vile Depo injection, implants?
Nitaku-inbox baada ya majibu haya.
 
Wewe nawe ulikimbilia kuolewa bila kujuwa ukubwa wa dudu ya akuoaye?....unalo hiloooo...vumilia au kama vipi mbwage njoo kwangu nina kibamia na wewe kibakuli chako kidogo tutakula raha na hakuna michubuko.

Umesema jamaaa akipiga gol 2 bado anataka?...inamaana kila akila mzigo anataka apige 100?...mwambie sie wenzake huwa tunaanzia small house ili tukija home tupie 1 au 2 tumeridhika kabsaaaaaaa. Laa sivyo atakuuwa huyooo mwambie atafute ki-small house cha kupunguza maugumu yake.
 

Wew hujielewi kabisaaaaaaaaa....kufa mwenyewe na uhuni wako usishauri watu Pumba.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
wew hujielewi kabisaaaaaaaaa....kufa mwenyewe na uhuni wako usishauri watu pumba.

Sent from my blackberry 9800 using jamiiforums

album mpya ya jide ina jina zuriiii "nothing but truth"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…