napata mchubuko wakati wa kufanya tendo la ndoa

Nenda JD pharmacy kanunue Durex gel. Maumivu yote kwishney 🙂
 
me cwezi sema ukoje me naona upo normal. jamani wewe too much information unataka
 
unataka picha ya nini? ya huo mchubuko nitakuwa nipo kinyume na maadili
 
pole jitahidi kupunguza mawazo hebu onyesha mmeo unampinda na kama mmeo anapiga mitungi jitahidi kushauriana nayeaache maana ngono ya pombe huwa sio salama sana
 
umeolewa au ni mpenzi tu? kama hujaolewa acha kufanya mapenzi nje ya ndoa kwani ni dhambi.
kama umeolewa nenda hospital ukapate ushauri wa tabibu

duuh papaaa umeniacha hooi
 

hahahaaaaaaa
 
MRS lyimo pole mwaya,
maumivu yakizidi mwone daktari
halahala lakini.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana
Inaonesha ni tatizo ambalo kisaikolojia hata wew limekuathiri kiasi kwamba wakati wa tendo unaona utaumia tuu
Tatizo si maandalizi ila unahitaji ushauri wa jinsi ya kuondokana na hiyo hali pia nenda hospital ucheki labda kuna maambukizi yoyote
Ni hayo tu
 
% kubwa ya wanaochubuka wakati wa ku-do huwa wana ugonjwa wa HSV,vipele hivyo huuma sana vikiguswa
 
Hio michuko unaipata kwasababu unakuwa mkavu,zipo vaginal lubricants(vilainisho ambavyo unaweza kutumia in that case),kitu kingine ni kwamba mwambie huyo mwenzi wako akutayarishe vizuri!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…