napata mchubuko wakati wa kufanya tendo la ndoa

napata mchubuko wakati wa kufanya tendo la ndoa

Nenda JD pharmacy kanunue Durex gel. Maumivu yote kwishney 🙂
 
me cwezi sema ukoje me naona upo normal. jamani wewe too much information unataka
 
unataka picha ya nini? ya huo mchubuko nitakuwa nipo kinyume na maadili
 
pole jitahidi kupunguza mawazo hebu onyesha mmeo unampinda na kama mmeo anapiga mitungi jitahidi kushauriana nayeaache maana ngono ya pombe huwa sio salama sana
 
umeolewa au ni mpenzi tu? kama hujaolewa acha kufanya mapenzi nje ya ndoa kwani ni dhambi.
kama umeolewa nenda hospital ukapate ushauri wa tabibu

duuh papaaa umeniacha hooi
 
Wewe nawe ulikimbilia kuolewa bila kujuwa ukubwa wa dudu ya akuoaye?....unalo hiloooo...vumilia au kama vipi mbwage njoo kwangu nina kibamia na wewe kibakuli chako kidogo tutakula raha na hakuna michubuko.

Umesema jamaaa akipiga gol 2 bado anataka?...inamaana kila akila mzigo anataka apige 100?...mwambie sie wenzake huwa tunaanzia small house ili tukija home tupie 1 au 2 tumeridhika kabsaaaaaaa. Laa sivyo atakuuwa huyooo mwambie atafute ki-small house cha kupunguza maugumu yake.

hahahaaaaaaa
 
MRS lyimo pole mwaya,
maumivu yakizidi mwone daktari
halahala lakini.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana
Inaonesha ni tatizo ambalo kisaikolojia hata wew limekuathiri kiasi kwamba wakati wa tendo unaona utaumia tuu
Tatizo si maandalizi ila unahitaji ushauri wa jinsi ya kuondokana na hiyo hali pia nenda hospital ucheki labda kuna maambukizi yoyote
Ni hayo tu
 
% kubwa ya wanaochubuka wakati wa ku-do huwa wana ugonjwa wa HSV,vipele hivyo huuma sana vikiguswa
 
jamani me nakaribiwa kuachwa na mpenzi wangu ananiandaa mad mrefu kwa imani ctachubuka but mwisho wa siku goli mbili tu me nimechubuka na ctaki kuendelea coz napata maumivu makali ikiwa inaingia. huu ni mwaka wa tatu sasa tatizo linaendelea tu. mpaka amifikia mahali ameniambia sasa hamu yake apeleke wapi. naombeni mnisaidie kimawazo nampenda sana mpenzi wangu ctaki aniache.
Hio michuko unaipata kwasababu unakuwa mkavu,zipo vaginal lubricants(vilainisho ambavyo unaweza kutumia in that case),kitu kingine ni kwamba mwambie huyo mwenzi wako akutayarishe vizuri!
 
Back
Top Bottom