Napata mkojo mchafu pamoja na maumivu, kinyesi kigumu na homa kali, ni dalili ya ugonjwa gani?

Napata mkojo mchafu pamoja na maumivu, kinyesi kigumu na homa kali, ni dalili ya ugonjwa gani?

didy muhenga

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2022
Posts
861
Reaction score
1,476
Habarini wakuu naomben msaada kabla sijaenda kusemwa na daktar kibofu kinaniuma, napata mkojo mchafu na maumivu pia wakat wa haja ndogo, natoa kinyes kigumu sana na ninasikia Homa kwa mbali.

Hizi zitakua dalili za nini wakuu?
 
Pole sana mkuu, nakushauri nenda ukamuone daktari vipimo ndio vitakupa majibu sahihi kabla hali haijawa mbaya zaidi
 
Habarini wakuu naomben msaada kabla sijaenda kusemwa na daktar kibofu kinaniuma, napata mkojo mchafu na maumivu pia wakat wa haja ndogo, natoa kinyes kigumu sana na ninasikia Homa kwa mbali.

Hizi zitakua dalili za nini wakuu?
Kunywa maji mengi kwa siku nzima kwanza.. Pia tafuta papai na tikiti kula ya kutosha sana usile kitu kingine kisha sikilizia
 
Back
Top Bottom