didy muhenga
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 861
- 1,476
We ni me au ke??Habarini wakuu naomben msaada kabla sijaenda kusemwa na daktar kibofu kinaniuma, napata mkojo mchafu na maumivu pia wakat wa haja ndogo, natoa kinyes kigumu sana na ninasikia Homa kwa mbali.
Hizi zitakua dalili za nini wakuu?
meWe ni me au ke??
Vipimo vinavyo hitajika hapo ni
Ushaingia leba mkuu ?😅Kimba gumu maumivu yake ni zaid ya leba pole sana mkuu
Hilo liugonjwa sitokuja lisahau linakufanya kiuno uone kama kimekatika ,afu likianza kama masihara likiwa sugu ndo utajua hujui🙌Yuti
Hilo liugonjwa sitokuja lisahau linakufanya kiuno uone kama kimekatika ,afu likianza kama masihara likiwa sugu ndo utajua hujui🙌
ex aliniambiaga kimba gumu ni zaid ya leba 😁Ushaingia leba mkuu ?😅
Kunywa maji mengi kwa siku nzima kwanza.. Pia tafuta papai na tikiti kula ya kutosha sana usile kitu kingine kisha sikiliziaHabarini wakuu naomben msaada kabla sijaenda kusemwa na daktar kibofu kinaniuma, napata mkojo mchafu na maumivu pia wakat wa haja ndogo, natoa kinyes kigumu sana na ninasikia Homa kwa mbali.
Hizi zitakua dalili za nini wakuu?