SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Wapo wengi wa zamani watakaofikiriwa kwanza kabla ya hawa wa sasaMkapa alistahili kupewa huo uwanja wazo lako sio BAYA kwa vile vinavyojengwa angalau kimoja apewe Samata na kingine John Bocco
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapo wengi wa zamani watakaofikiriwa kwanza kabla ya hawa wa sasaMkapa alistahili kupewa huo uwanja wazo lako sio BAYA kwa vile vinavyojengwa angalau kimoja apewe Samata na kingine John Bocco
Samatta sawa,Mkapa alistahili kupewa huo uwanja wazo lako sio BAYA kwa vile vinavyojengwa angalau kimoja apewe Samata na kingine John Bocco
Mfano Mbwana Sammata stadium[emoji3]Natamani kuona tunaanza kuvipa viwanja majina ya wachezaji na wanariadha waliofanya mambo makubwa badala ya wanasiasa
Mi mwenyewe nimeshangaaSamatta sawa,
John Bocco apewe kwa kipi ?
Yaani watapigwa kama ngoma maana washakosea tayariMkapa ndio kiongozi wa Afrika, aisee!
Tusubiri tuone hivyo vipya vinavyojengwa kwaajili ya afcon labda wataambuliaNatamani kuona tunaanza kuvipa viwanja majina ya wachezaji na wanariadha waliofanya mambo makubwa badala ya wanasiasa
Sidhani. Yaani hawa wanasiasa wamuache Samia, Mpango na Makonda wakampe Athumani Mambosasa?Tusubiri tuone hivyo vipya vinavyojengwa kwaajili ya afcon labda wataambulia
mtani wako ni nani sasa kati ya al hilal na hao es tunisWanasimba tukutanane tumpe joto mtaniwetu sasa asiyeongo wachezaji wa timu nyingine ili apate matokeo.
Umenikumbusha miaka kama minne iliyopita Kuna kocha wa kigeni sikumbuki alikuwa anafundisha timu gani ila ni Kati ya hizo timu pacha pendwa....wabongo hawapendi mpira bali timu zao pacha
Alikuwa mwana michezo mzuri sana tangu akiwa pugu boys(st Francis)alikuwa anapiga winga namba sabaPamoja na kutafuta huo mkopo wa kujenga uwanja, hakuwa hata mwanamichezo. Tungetafuta maeneo mengine ambayo alikuwa na passion nayo ili kumuenzi
Daaah Mkapa namba saba, we jamaa punguza katani hizoAlikuwa mwana michezo mzuri sana tangu akiwa pugu boys(st Francis)alikuwa anapiga winga namba saba
Ndio upekee wetu ila kidogo alitukosea na mtizamo wake sio lazima uwe sahihiUmenikumbusha miaka kama minne iliyopita Kuna kocha wa kigeni sikumbuki alikuwa anafundisha timu gani ila ni Kati ya hizo timu pacha pendwa....
Aliulizwa swali na mwandishi wa habari anaoneje Soka la Tanzania na mwamko wake?.. Jibu alilotoa linafanana na hiki ulichoandika hapa, alisema watanzania hawapendi mpira Wala hawaujui ila wanazipenda timu zao tu na ndio maana timu hata ikicheza ovyo kama inashinda hakuna anayekukosoa.
Tangazo lile limeonesha kiwango kikubwa sana Cha kufikiri Cha Hawa watuSijui kwanini sisi watanzania tunakosa ubunifu
Tangazo murua kabisa.