Napata nguvu kushangilia Al Hilal

Natamani kuona tunaanza kuvipa viwanja majina ya wachezaji na wanariadha waliofanya mambo makubwa badala ya wanasiasa
Tusubiri tuone hivyo vipya vinavyojengwa kwaajili ya afcon labda wataambulia
 
wabongo hawapendi mpira bali timu zao pacha
Umenikumbusha miaka kama minne iliyopita Kuna kocha wa kigeni sikumbuki alikuwa anafundisha timu gani ila ni Kati ya hizo timu pacha pendwa....

Aliulizwa swali na mwandishi wa habari anaoneje Soka la Tanzania na mwamko wake?.. Jibu alilotoa linafanana na hiki ulichoandika hapa, alisema watanzania hawapendi mpira Wala hawaujui ila wanazipenda timu zao tu na ndio maana timu hata ikicheza ovyo kama inashinda hakuna anayekukosoa.
 
Pamoja na kutafuta huo mkopo wa kujenga uwanja, hakuwa hata mwanamichezo. Tungetafuta maeneo mengine ambayo alikuwa na passion nayo ili kumuenzi
Alikuwa mwana michezo mzuri sana tangu akiwa pugu boys(st Francis)alikuwa anapiga winga namba saba
 
Mi mwenyewe nimeshangaa
Bocco amekuwa na mchango mkubwa sana katika kuhamasisha mpira kwa vijana hapa nyumbani sema kwa Sasa wakati unamuacha na mazuri yake yanasahaurika
 
Ndio upekee wetu ila kidogo alitukosea na mtizamo wake sio lazima uwe sahihi
Watanzania walijaa mechi ya mazembe na Esperance
Leo tumejaa chamanzi tukiwalaza Togo labda ni upendo gani tunapaswa kuonesha ili ijulikane tunapenda mpira!?
 
Sijui kwanini sisi watanzania tunakosa ubunifu

Tangazo murua kabisa.
 
Sijui kwanini sisi watanzania tunakosa ubunifu

Tangazo murua kabisa.
Tangazo lile limeonesha kiwango kikubwa sana Cha kufikiri Cha Hawa watu
Bado mfumo wetu wa elimu nadhani hautupi fikra sahihi kuangalia mambo
Kumbuka hii team ligi Yao imesimama lakini ndio hao wanawaumiza Esperance nawaza sisi hali ingekuwaje tungepitia hata robo ya wanayopitia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…