Napata shida sana kwenye swala la kukumbuka nitimie nini?

Joined
Apr 24, 2015
Posts
98
Reaction score
72
Jamani wanaojua zaidi ni dawa au chakula gani ni bora kwa afya ya akili ambacho chaweza kuongeza uwezo wa kumbukumbu na uwezo wa kufikiri?
maana binafsi napata shida kwenye Kumbukumbu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nunua almond au lozi kula asubuhi na jioni kila siku zinasaidia sana hata kwa wanafunzi
 
Kula bamia kwa wingi mkuu na mtindi wa asili (sio wa pakti).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…