Ninakama miezi miwili nnatatizo la kuwashwa mbele na nyuma nawashwa sana nikajua ni fungus nimetibu sana lakin sikupona nikafanya vipimo vya cultural sensitivity dokta akanambia maji maji ambayo yanakua uken yamepungua hivyo wale bacteria rafik wameanza kunishambulia nimetumia dawa zimeisha nimekaa kama wik moja tatizo limeanza tena plz nisaidieni wana jf
<br />
<br />
Pole sana @gemmy,inackitisha sana.
1.Mi bado cjaamini kama hlo tatizo limeshindikana hospitalini,jaribu kutembelea hospitali kubwa*2 na ujaribu kuongea na doctor vizuri na mimi naamini utapata dawa.
2.Jaribu kubadilisha au kusitisha v2 kama vipodoz,mafuta ya kupaka alaf usikilizie.
3.Fikiria kuhusu chakula unachokula,haswa mafuta yanayo2mika kupikia,mara nyingine labda hayaendani na damu yako.
4.Pia jaribu kuweka hzo sehemu katka hali ya usafi na ukavu mara zote na fikiria kuhusu vle v2 vle( angels,always nk) labda una allergy na aina flani ya hz.
5.Siamini uchawi,ila naamini upo,mi kuna m2 namfahamu alivimba miguu bla 7bu yeyote,kwenda hospitaln hakuna kitu,kwahiyo jaribu kufikiria njia ulizopitapita katka suala la mapenzi,isije ikawa umepita kwenye njia za watu wengine ndo wakakufanyia hvyo! Just in case you won't get help from the hosptal or from any other place. Naamini unamwamini mungu,fikiria kuhupu hilo pia. Pole sana,usihofu utapona tu.