Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usingojee miezi minne nguo za ndani zote ulizotumia kabla ya matumizi ya dawa zitupe na uanze na mpya(pamba halisi),na hata hizo mpya usivae kabla ya kuziosha.Elli unajua nnajitahidi sana kuzingatia kanuni za usafi muda wote gemmy wangu hana msitu na natumia tissue nikiwa nyumbani ni kujisafisha na maji na kuputa na taulo safi nguo zangu za ndani ni kila baada ya miezi 4 na badilisha mambo tu yameniangukia ila ntazingatia ushauri wenu thanx for your concern
Ninakama miezi miwili nnatatizo la kuwashwa mbele na nyuma nawashwa sana nikajua ni fungus nimetibu sana lakin sikupona nikafanya vipimo vya cultural sensitivity dokta akanambia maji maji ambayo yanakua uken yamepungua hivyo wale bacteria rafik wameanza kunishambulia nimetumia dawa zimeisha nimekaa kama wik moja tatizo limeanza tena plz nisaidieni wana jf
Aaah! you mean our resident 'jujuman' the one and only MM.Wasiliana na mganga wa jadi anaenda kwa jina la ki-jeiefu 'Mzizimkavu'.
Ndio mwenyewe huyo..Aaah! you mean our resident 'jujuman' the one and only MM.