Napata utata kuhusu video za Humphrey Polepole

Daaah Tanzania??? Kumlaumu polepole kwa kukosoa hadharani bila kificho .... na si kulaumu watekaji na wauaji .huu ni upumbavu wa kiwango cha mende

Kwa uwezo wako wewe wa Akili unadhani kama Polepole hakujua kosa lake !!!

kwann alikuwa anajificha uku anaongea yale alikuwa anaongelea!!! ????

Kwanini asiongee tu hadharani ๐Ÿ‘ˆ

yani hangeitisha mkutano wa waandishi habari akaongea!

Na hakaruusu kuulizwa maswali kwa kile kaongea
zambi ingekuwa wapi apo???

Mwenye lengo la kupotosha Jamii utamjuqje ni vitendo vyake!!

Polepole kaongea mengi ya ujinga kuhusu CCM kiasi huwezi kuamini kuwa Eti Polepole alikuwa Katibu itikadi Uwenezi CCM!!

mfano Polepole alitaka jamii Ielewe Rais wasasa kapendelewa na CCM kwa kupitishwa bila kupigwa!

Ukweli ni upotoshaji wawazi kabisaโŒ๏ธ

Wkt ukweli mfumo wa CCM Rais Samia Suluhu Hassan kwakuwa hii ilikuwa ni awamu yake ya pili ivyo CCM wamekuwa na mazoea ya kutokukuekea mgombea mwengineโœ…๏ธ

lkl Polepole kwania mbaya yenye lengo la kupotosha Jamii

Polepole anadai Rais Samia Suluhu Hassan hii 2025 ndio awamu yake ya kwanza โŒ๏ธ

lengo lake kuchanganya mpaka wana CCM wachache wasiojielewa baadhi
wakafikia kuoji kwann CCM imempitisha pekeyakeยฟยฟยฟยฟ ๐Ÿ˜‡๐Ÿ˜‡

mn ni kweli ingekuwa ndio awamu ya kwanza talatibu lazima kuwe na wagombea wengiโœ…๏ธ

Watu wakamwamini zaidi Polepole kuliko ukweli wa kuwa Rais Samia Suluhu Hassan hakupendelewa na CCM โœ…๏ธ

bali ni awamu yake ya pili kuelekea 2025-2030.

Polepole katumia njia ya kuongea kwa kujifisha Sababu kajua nini anataka kufanya kwenye Jamii!!

Hangekuja hadharani
wapo wenye kujua ukweli wangemuoji mifumo ya CCM inavyofanyakazi angeaibika mchana kweupe!!

Ndio akaona uwongo wake akaongee porini

Unaenda kujificha sehemu kisha unajirecord chumbani kwako
unaropoka ropoka kisha unatuletea

Mbona Askofu Gwajima mwisho akaelewa kosa lake!!!

ukitaka kuongea Siasa ongea kwenye mkutano wa maalumu ruhusu kupigwa maswali !!!

Sio unaenda kuongelea Kanisani au chumbani kwako. ๐Ÿ’ฉ๐Ÿ’ฉ

Lengo lako nini kwenye Jamii ยฟยฟ
 
HAKI zengine za Watanzania ni kulindwa na wapotoshaji kwenye Jamii

Polepole alitakiwa kutafuta Dawa ya changamoto zake baada ya kukabidhi ile V8 kwa mwengine๐Ÿ‘ˆ

lkn sio kuja kujifungia Chumbani na kupotosha Jamii yetuโŒ๏ธ

Yumkin Polepole kuchangia yale matukio ya Mo29
 
๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ Yaani nyie wavulana msiojua mambo mna vituko sana. Kwahiyo Polepole alikuwa mtu wa kawaida na mshamba kabla ya JPM?
Ndio maana wazenji wanawatia madole ya macho watanganyka
Alikua mshamba kajaa dhiki,akibwekabweka channel ten na ubishi wa kijinga
 
We jamaa una machekesho bila kujijua.
Polepole hakukumbwa na demotion, alijiuzulu mwenyewe ubalozi, ukitokea Havana Cuba.
Pili hizo dawa unazoziongelea huwa wanapewa watu wenye sonoma.
tena sio sonoma ili mradi sonoma, ni Sonoma ikiwa Severe.
 
Ndio mumuue?
 
Wewe ujasikia kuwa ni mzee butiku alimchoma baada ya kuwasiliana nae we nawe
 
Kwahiyo kosa la Polepole mpaka akatekwa ni lipi?... kwanini asipelekwe mahakamani kama kafanya kosa ?
 
Polepole huko aliko hajuti! Yule hajaibuka tu from no where! Yule katengenezwa na anachoamini ni yamini. Sisi huku ndio tunapata shida na kufikiri yupo kinyonge. Polepole ndio wale vijana jeuri aliosema Mwl Nyerere.
 
We jamaa una machekesho bila kujijua.
Polepole hakukumbwa na demotion, alijiuzulu mwenyewe ubalozi, ukitokea Havana Cuba.
Pili hizo dawa unazoziongelea huwa wanapewa watu wenye sonoma.
tena sio sonoma ili mradi sonoma, ni Sonoma ikiwa Severe.
kumbukumbu zako zivute zaidi Polepole alikuwa Mbunge kabla ya Rais Samia Suluhu Hassan kumpeleka kuwa Balozi Malawi ๐Ÿ‘ˆ

unamvua Ubunge na kumvisha Ubalozi tena Malawi!!
Sijui kama unaelewa tofauti yake!!!

Wkt sio muda mrefu rip JPM nayeye alimvua Uwenezi CCM ikabidi Polepole kukabidhi lile V8 ๐Ÿค ๐Ÿค 
Lkn JPM akamteuwa kuwa Mbunge wa Jamhuri ..

Rais Samia Suluhu Hassan akaja kupita na Ubunge wake ! na kumpeleka kuwa Balozi kwako kashushwa kapandishwa?????

Kuna V8 tena apo ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Polepole alitakiwa kutibiwa msongo wa mawazo
mawazo uzaa tatizo kubwa zaidi.

Wataalamu wa Afya ktk orodha ya vitu hatari kwenye Afya yetu
mawazo wameyasisitiza sn ndio mbaya zaidi. Kiafya

Madaktari wanatwambia ivi
Hatari zaidi kwa Afya zetu tujichunge
1 ) mawazo
2 ) sigara
3 ) pombe
Nk.
 
Unaongea kwa kutumia hisia. Kwamba Punda afe ilimradi mzigo ufike sio? Huyo bashiru mwenyewe walewale tu alikaa kimya kwa sababu hakuwa na option alirizika kulipwa vimiambili wakati huko nyuma alijichotea atakavyo. Polepole mimi sikuwahi kumwelewa maana ya ujifichaji ule ukishatibuana na mfumo you have no other option rather than to be very wise and smart alishindwa hata kumiliki bereta๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ mbwembwe zote akauzwa mchana kweupe kama yuda alivyomuuza yesu kwa vipande vya fedha.Alizingua sana
 
Kwahiyo kosa la Polepole mpaka akatekwa ni lipi?... kwanini asipelekwe mahakamani kama kafanya kosa ?

Maelezo yangu yamejikita kutoa Mwanga kudadavua Mwezetu Polepole alikosea wp!!

lengo kuwapa Wanasiasa mitazamo yenye kuwasaidia kupunguza mikwalizano hisio na tija

ongea hadharani ruhusu kuulizwa maswali ๐Ÿ‘ˆ
ndio mifumo ya Siasa pendekezwa ipo ivyo. Popote Duniani โœ…๏ธ

Sasa unamuongelea mwanasiasa ambae kajijenga kwa Wananchi ili kutafuta kura โ—๏ธ

wewe unam'bandika mikashfa kibaoโ€ผ๏ธ

hakienda Mahakamani kujisafisha
hatamshtaki nani โ—๏ธโ—๏ธโ—๏ธ

Mfano Rip Bernard Membe baada kuona kashfa nyingi kwa MuSibaโ—๏ธ hakachukua hatua kwenda Mahakamani kujisafisha๐Ÿ‘ˆ

Mimi naamini Pole pole ni mzima wa Afya!

Japo hatuelewi malengo yao wanaomshikilia !!

Lkn ipo wazi Polepole kafanya yale kama hasira baada kuondoshewa V8 mlangoni kwake!!

muhimu Polepole hajamtukana mtu kwenye maelezo yake๐Ÿ‘ˆ

Tuendelee tu kumuombea ipo siku ataungana upya na Familia yake๐Ÿ‘ˆ.
 
Mkuu pole pole alipo teuliwa na Rais Magu kuwa Mbunge,alikuwa bado hajaondolewa cheo cha usemaji wa chama...yaani alikuwa ana vyeo vyote viwili.

Rais Samia alipo ingia madarakani ndipo sasa akakabidhi kile cheo cha Usemaji kwa Shaka hamdu shaka na akabaki na ubunge peke yake.

Baada ya muda ndipo akateuliwa na Raisi Samia kuwa balozi,hapo ndo akaachia ubunge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ