Napata wakati mgumu kukutana na Mke wangu mtarajiwa

Na hii posting Via Mobile unajua inanitia wivu sana?.......halafu unajua nakudai?
Hahahaha, wivu wa nini bana wkt umeniacha nyumbani? Umeme hakuna LAPTOP imezima! Nilikuwa kazini mpaka sa sita usiku, sijapata mda wa kuicharge, kukutana na mme mtarajiwa yenyewe bado, nakutana na wazungu, wachina wajapani, na hao mimi siwataki. Mh! Deni halijasahaulika babu, c unajua dawa ya deni ni kulipa?
 
Na unajua jinsi babu anavyodai?
 
Mbavu zangu jamani babu...hahahahaaaaa
 
Jamani msimshambulie hivo., mwenzetu kaamua kutupa detail zake zote ili tumjue in 3D so that ushauri wetu uwe ume-cover angle zote..,

Mkuu., busy gani hiyo? Busy ilikuwa zamani maana watu walikuwa na uhakika wa kutafutiwa wake na wazazi., but if na ww umeingia kwa kundi hilo then waombe wazazi wakusaidie maana kwa maisha unayoishi with Nyumbani-Kazini straight lyf system sidhani kama itatokea..!
Au ka vp niPM nikakufanyie udalali kwa baadhi ya mabinti flani hivi...:A S-baby:
 
Nimekugeuzia kibao? Na ukome, we si ndo umeanza kunichekesha?

:israel::israel::israel::bange::bange::bange:
ee ila hiyo yako ni noumaaaaa
ati 'umtumie houseboy tiketi ya ndege ili aje amchunge mbwa aliyenunuliwa moscow'
duh!.........
 
We! Usithubutu, we unaona bwana harusi mtarajiwa ana 23yrs, hao mabint utawatoa shule au? Huyu asubir akifka 25, ndo aanze kutafuta binti, vinginevyo anataka kutuharibia mabinti zetu. Anataka binti wa umri gani?
 
jamani he is only 23.mwendeeni taratibu......

mtoa mada hata siku za weekend hupati nafasi???jumapili je kanisani?
 
ee ila hiyo yako ni noumaaaaa
ati 'umtumie houseboy tiketi ya ndege ili aje amchunge mbwa aliyenunuliwa moscow'
duh!.........
Hahahaha...... yoooote haya umeyaanzisha wewe hapo....sijui unafanya kazi kwa wahindi mshahara laki unusu? Unamwonea wivu dogo wa watu anakula 1m per month na garrrrr yake na digrrrr yake....hahaha...kaaaz kwel kwel.....Sie tusio na kitu mabinti lukuki wa kuoa tunawaona. LOL
We! Usithubutu, we unaona bwana harusi mtarajiwa ana 23yrs, hao mabint utawatoa shule au? Huyu asubir akifka 25, ndo aanze kutafuta binti, vinginevyo anataka kutuharibia mabinti zetu. Anataka binti wa umri gani?

Dadamtamu we una miaka mingapi? Jaribu bahati yako...au hupendi kuwa shugamami?
 
Wewe bado mtoto wa mama ukikua utaacha
 
Sipendi babu, huyu hahitaji shuga mami cz hela anazo za kutosha. Anahitaji binti wa kuzila hizo pesa na marupurupu. Ana bahati sina mdogo wa kike, ningemtuma akazilete hizo pesa tumalizie kuweka bati kwenye nyumba ya kijijini kwetu.
 
Jana nilizima mpwa valuu chupa 2 na kili 7 dah hapa nahisi kufa kufa.

Kibaya zaidi nilikuwa na gemu mchangani nikaishia kuchezea mausi.
Aisee hiyo hatari, itabidi urivenji bana......
 
A graduate? Sina uhakika na chuo ulichosomea lakini hili bandiko halifai kuwekwa na mtu aliye na shahada. Acha kulimbuka na milion moja fanya kazi kwa bidii na muda wako wa kuoa ukifika utaoa..

A graduate? Sina uhakika na chuo ulichosomea lakini hili bandiko halifai kuwekwa na mtu aliye na shahada. Acha kulimbuka na milion moja fanya kazi kwa bidii na muda wako wa kuoa ukifika utaoa..

Skulmeti mbona zile bia zako kwa Jonista huendi kuzichukua? Leo nakuongezea mbili.
 
Skulmeti mbona zile bia zako kwa Jonista huendi kuzichukua? Leo nakuongezea mbili.

Helicopter yangu ilikuwa na mechanical failure jana kwahiyo sikuweza kufika - Leo nitapita baadaye maana Mama_Enock ameniazima Ferrari yake..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…