Hellow great thinkers,
Mi ni kijana wa ki-Tanzania (kiswahili) 23 yrs old niliyegraduate chuo mwaka jana mambo ya Logistics, I thanks God nilibahatika kupata kazi baada tu ya kumaliza chuo july last year kwenye international logistics company, na mshahara ni one million gross,
kama mnavyojua kwa wanaodeal na shipping na telecommunications industry.
Nikajikuta nikiwa busy vibaya mno na kazi, as u know logistics sometimes unatoka saa 4, sometimes you suppose to work at weekends and public holidays ( japokuwa napata sana hela za overtime na tax allowances), namshukuru mungu kwa hilo.
Sema kazi hii imenifanya nikose muda wa social things ambazo zinaweza kunikutanisha na mke wangu mtarajiwa like going outing, vijiweni, movies, na other social areas, bado still nakaa home kwa wazazi so nikitoka job home.
Nakaa home sababu panajitosheleza na ninataka kuhama nikimaliza my own house na ni first and last born in family,
kazini natumia usafiri binafsi so kukutana kwenye daladala na woman of my life haiwezekani, enzi za chuo na shule nilikuwa somasoma niliyeogopa mahusiano sababu ya concentration kwenye masomo.
Kukutana nae kazini ni ngumu sababu nafanya kazi na wageni esp Wafaransa, China, Ghana na wengineo na sipo tayari kwa hao.
Ukisema kukutana facebook na social network zingine siamini hilo sababu najua ni maigizo yamejaa humo, nisaidieni wapendwa mawazo jinsi ya kukutana na woman of my life sababu naamini now nipo tayari kwa hilo emotionally and financially.
Naomba msaada wa mawazo wana jamii forums wenzangu.